Chadema kujisuka upya, kusukuma ajenda ya kudai mageuzi
Kamati Kuu ya Chadema imeazimia mambo mbalimbali, ikiwemo kuanza rasmi kwa mikutano ya hadhara...
Kamati Kuu ya Chadema imeazimia mambo mbalimbali, ikiwemo kuanza rasmi kwa mikutano ya hadhara...
Mataifa 53 ya Afrika, isipokuwa Eswatini, kuanzia leo Mei tarehe 1, itaanza kusafirisha na kuuza bidhaa zake nchini China bila kutozwa ushuru. Imechapishwa: 01/05/2026 – 06:44Imehaririwa: 01/05/2026 – 06:58 Dakika…
Miaka nane baada ya taifa la kenya kupiga marufuku vifungashio vya plastiki, tatizo hili bado ni kero hasa katika mpaka wa Busia, kati ya Kenya na Uganda. Imechapishwa: 01/05/2026 –…
Upofu na matatizo ya kuona kwa watoto ni miongoni mwa changamoto kubwa za afya ya umma duniani.
Maafisa wanasema lengo la Kabila lilikuwa kuyumbisha serikali iliyopo madarakani na kumuweka mgombea wa upinzani ili kurejesha ushawishi wa kisiasa.
Mahakama Kuu nchini Uganda, imemkuta na hatia Christopher Okello Onyum, na kumuhukumu kunyongwa kwa makosa manne ya mauaji ya watoto wanne wa shule katika Kituo cha Maendeleo ya Watoto wa…
Tangu Aprili 2023, Sudan imekuwa ikikumbwa na vita kati ya jeshi la serikali na kikosi cha Rapid Support Forces, ambavyo vimesababisha vifo vya makumi ya maelfu ya watu na kuwahamisha…
Allah Mtukufu aliamuru waja wake wasafiri katika ardhi, wachunguze na wazingatie neema Zake na...
Everton yafufua nia ya Delap, yawania mastaa watatu wa England, Salah aifikiria Fenerbahce huku Chelsea ikitarajia kuvuna kupitia Jackson.
Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila, ikimtuhumu kwa kuwaunga mkono waasi wa kundi lenye silaha la M23. Imechapishwa: 01/05/2026…