Vifo vya kushtua vyaibua hofu
Matukio hayo yameibua maswali miongoni mwa wananchi kuhusu chanzo na mazingira ya vifo hivyo...
Matukio hayo yameibua maswali miongoni mwa wananchi kuhusu chanzo na mazingira ya vifo hivyo...
Marais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwenzake wa Kenya, Dkt. William Ruto wamekutana jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kikodi hadi kufikia mwishoni mwa…
Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho zilizopo...
Rostam amesema majadiliano kati ya mataifa hayo yanapaswa kuhamia kutoka kwenye biashara ya...
Kauli ya Dk Ruto, inakuja miezi saba tangu zilipotokea ghasia nchini wakati na baada ya...
Baada ya dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga iliyopigwa jana Jumapili kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya mabao 2-2, mpiga…
MSHIKEMSHIKE: Baada ya Simba na Yanga kutoka nguvu sawa katika Dabi ya Kariakoo; Je, ni kitu gani kimekuvutia zaidi kwenye mchezo huo?. Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye…
Taasisi ya Wakaguzi wa ndani Tanzania inaungana na vuguvugu la kimataifa la ukaguzi wa ndani katika kuadhimisha mwezi maalum wa Mei katika uhamasishaji wa ukaguzi wa ndani kwa lengo la…
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa kauli rasmi kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ßiliyoundwa kuchunguza matukio ya ghasia yaliyotokea Oktoba 29, 2025, kikisisitiza kulinda umoja wa kitaifa na mustakabali wa…
Tanzania na Uturuki zimesaini mkataba wa kuepusha utozaji kodi mara mbili (DTA), hatua...
#NBCPL Magoli yote matatu…. Aliyejifunga na Marco Mhilu na kuipa Mbeya City bao la ushindi. Tazama alichokifanya. FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City. Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL…
Gondwe amesema kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, fidia hizo zinatokana na usumbufu walioupata,...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, tayari ameridhia na kutoa kiasi cha Dola za Marekani 30,000,000 (Sh78 milioni) kama ada ya uandaaji wa Fainali za…
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi waliobomolewa nyumba zao, akiwemo Riziki Robert...
#KariakooDerby 'Saves'. Yamefungwa magoli manne, lakini kuna kazi magolikipa wote wawili waliifanya kupunguza idadi ya magoli. Hizi hapa ni baadhi ya ‘saves’ kutoka kwenye Kariakoo Derby, Simba vs Yanga iliyopigwa…
Amesema chama hicho kinaunga mkono mapendekezo yote yaliyotolewa na tume na kwamba Rais tayari...
Nigeria imetangaza mpango wa kuwarudisha nyumbani raia wake, kutoka nchini Afrika Kusini, wakati huu kukiwa na hofu kubwa ya kuendelea kwa wimbi la kuwashambulia wageni hasa Waafrika katika nchi hiyo.…
Waziri Mkuu amesema namna ambavyo uhalifu wa kimataifa hauna mipaka na kubainisha kwamba ni...
Waziri Mkuu amesema namna ambavyo uhalifu wa kimataifa hauna mipaka na kubainisha kwamba ni...
ULE msemo wa haiishi mpaka iishe unaanzia hapa kwa timu tatu zilizopo juu ya msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar ambazo ni KVZ, JKU na Fufuni zilizotofautiana pointi moja tu.
MSIMAMO: Mambo bado sana… kimahesabu hata KMC anaweza kumaliza ligi akiwa ‘top four’. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi (Feed generated with FetchRSS)
“Mlipuko” uliofuatiwa na moto umekumba meli ya Korea Kusini katika Mlango wa Hormuz leo Jumatatu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imetangaza, ikiongeza kuwa hakukuwa na majeruhi ndani…
Nchini Mali, kundi la Azawad Liberation Front (FLA) linalotaka kujitenga na kujitawala Kaskazini mwa Mali, linasema sio kundi la kigaidi, kama linavyotambuliwa na serikali ya kijeshi jijini Bamako, baada ya…
#NBCPL Wajelajela hali inazidi kuwa tete…!!! FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City. Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MbeyaDerby #DabiYaMbeya #PrisonsMbeyaCity (Feed generated with FetchRSS)
KOCHA Mkuu wa Mlandege, Hassan Ramadhan 'Pele' amesema ushindi walioupata dhidi ya Zimamoto umefufua matumaini mapya ya timu hiyo kutetea taji lao la Ligi Kuu Zanzibar.
Nchini DRC, chama cha rais wa nchi hiyo UDPS kimefanya maandamano katika mitaa ya Kinshasa. Uhamasishaji huo ulikuwa wa kuunga mkono vikwazo vya Marekani vilivyomlenga rais wa zamani Joseph Kabila,…
Usalama kwa wafanyakazi wa kampuni za Said Salim Bakhresa ni kipaumbele kisicho na mbadala na ili kuweza kupata ufanisi wa hali ya juu wa utendaji kazi sambamba na kuhakikishiwa usalama…
Iran inasema makombora yake mawili yamelenga meli ya kivita ya Marekani kwenye mlango wa Bahari ya Hormuz, baada ya nchi hiyo kupuuza onyo lake la kutopita katika eneo hilo, ambapo…
Mahamat Idriss Deby aonya dhidi ya “mbinu za udanganyifu wa ndani na nje” zinazolenga kuwagawanya Wachad. Katika mahojiano yaliyofanywa na timu yake ya mawasiliano, Rais wa Chad anajadili ziara yake…
Kuelekea katika Maonesho na Mnada wa Kimataifa wa Mifugo 'Tri-Nations Livestock Expo' utakaofanyika kuanzia Juni 19 mkoani Pwani, ni vyema wafugaji na wawekezaji kufahamu kiundani faida na umuhimu wa lishe…
Leo tarehe 4/5/2026 katika makao makuu ya nchi, jijini Dodoma, Mzalendo Alphonce Muyinga (Alphanga Black) ameacha alama ya kipekee ya uzalendo na kujitoa kwa jamii baada ya kutembelea Shule ya…
Kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa, timu ya kibinadamu ya ICRC imefanikiwa kufika eneo la Minembwe katika nyanda za juu za mkoa wa Kivu Kusini, pande zote mbili…
Kampuni za Said Salim Bakhresa imefanikiwa kutwaa tuzo saba katika Maonesho ya Wiki ya Afya na Usalama Mahala pa Kazi yaliyopo chini ya OSHA. Katika kuzifafanua tuzo hizo na tafsiri…
Angalau watu 18 wamefariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katika sehemu nyingi za Kenya. Imechapishwa: 04/05/2026 – 16:18 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Mike Sonko alimsherehekea bintiye Sandra Mbuvi kwa fahari baada ya kutangazwa kuwa Mjasiriamali Bora wa Kike Afrika katika tuzo za Africa Golden Awards Nairobi.
DAR ES SALAAM: Rais wa Kenya, William Ruto amewasili Tanzania leo Mei 4, 2026 kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili inayolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya. Kwa…
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemhukumu Ramadhan Muhunzi, kifungo cha miaka 12...
DAR ES SALAAM: PRESIDENT William Ruto of Kenya will tomorrow, May 5, 2026, address the Parliament of the United Republic of Tanzania in Dodoma before concluding his official visit to…
IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Isimani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuela Kaganda Mtatifikolo, ameanza rasmi safari yake ya kuwania nafasi hiyo kwa kauli yenye uzito wa kihisia na…
Vikundi hivyo vimeundwa katika vijiji vinavyokaliwa na wakulima na wafugaji, ambavyo kwa muda...
Mchungaji wa PCEA aliuawa na washukiwa waliojihami Nakuru, na kuzua taharuki. Wakaazi wakiongozwa na Kimani Ngunjiri walitaka kuchukuliwa hatua...
DODOMA: THE Commissioner of the Mining Commission is satisfied with the speed of collection of resources in the Mining Sector through the Mining Commission, a step that gives the Tanzanian…
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
DAR ES SALAAM: CRDB Insurance Company has announced a net profit of 4.4bn/- after tax for the financial year ending December 2025, a significant increase from 343.1m/- recorded in 2024.…
DAR ES SALAAM: PRESIDENT William Ruto has arrived in Tanzania for a two-day State visit aimed at strengthening bilateral relations between the two neighbouring countries. According to information from the…
Conjestina Achieng aliibuka tena barabarani baada ya kuondoka katika kituo cha kurekebisha tabia. Wakenya walielezea wasiwasi na wakaomba asaidiwe.