#HABARI: Gari aina ya Scania lenye kichwa chenye namba za usajili T 860 BXX na tela lenye namba T 522 AKS limepoteza mwelekeo na kuingia mtaroni maeneo ya ITV, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

ITV Digital imefika eneo hilo na kuzungumza na mashuhuda huku taarifa zikidai kuwa, dereva wa gari hilo amekimbia punde baada ya ajali hiyo kutokea.

‎Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *