#MICHEZO:Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, Twiga Stars, leo Julai 27, 2026 itaanza kuchanga karata zake dhidi ya mabingwa watetezi, Afrika Kusini kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026) katika Uwanja wa Moulay Rachid, Casablanca, Morocco, kuanzia saa 2:00 usiku.
Twiga Stars ipo Kundi B pamoja na Afrika Kusini, Burkina Faso na Ivory Coast, kundi linalotajwa kuwa miongoni mwa makundi magumu katika michuano hiyo.
Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Bakari Shime, amesema kikosi chake kimejiandaa vyema kwa mchezo huo na kina imani ya kupata matokeo mazuri dhidi ya Afrika Kusini.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)