Ni kawaida katika maisha ya mwanadamu wakati kinapotokea kifo mtu hasa mwenye umri mdogo watu wengi hulia na kuhuzunika, lakini anapofariki mtu mwenye umri mkubwa zaidi, huzuni hiyo hugeuzwa kuwa furaha ya kusherehekea kufurahia maisha yake ya uhai.
Hali hiyo imetokea kijiji cha Telamande Old Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye maziko ya bibi Hellena Masura, ambaye alizaliwa mwaka 1905 na kufariki Juni pili, 2026 akiwa na umri wa miaka 121.
Mhariri | @abuuyusuftz
#AzamTVUpdates #HabariWikiendi
(Feed generated with FetchRSS)