Unapohitaji huduma za afya, mawasiliano kati ya mgonjwa na mtoa huduma ni jambo muhimu sana. Hata hivyo, pale mtoa huduma anaposhindwa kupata au kuelewa taarifa sahihi kutoka kwa mgonjwa, kuna uwezekano wa kutoa tiba isiyo sahihi au kuchelewa kwa matibabu stahiki.

Sasa je, umewahi kufikiria changamoto anazokumbana nazo watu wenye uziwi na ububu wanapohitaji huduma za afya

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *