VIWANJANI: “Kikubwa ni kuwafurahisha mashabiki”

Wachambuzi wa soka, @akingamkono na @domayo wamepongeza namna klabu za Simba SC na Yanga SC wamekuwa wakitumia Parade la ubingwa kuendeleza utani wa jadi kwa namna inayoongeza ladha ya ushindani na kuwaburudisha mashabiki badala ya kuibua uhasama.

#Viwanjani

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *