Wananchi wa Kijiji cha Safu wilayani Kalambo pamoja na wenzao wa nchi jirani ya Zambia wameiomba Serikali kujenga daraja katika Mto Safu, unaounganisha mataifa hayo mawili, ili kuondokana na changamoto wanazokumbana nazo wanapovuka kwenda kufanya biashara na shughuli nyingine za kijamii.

Wamesema kwa miaka mingi wamekuwa wakihatarisha maisha yao, hasa wakati wa msimu wa mvua, kutokana na ukosefu wa daraja la kudumu katika eneo hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *