Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Kigoma imefuta kesi ya uchaguzi iliyokuwa ikipinga ubunge wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando ‘Baba Levo’ kutokana na ushahidi uliowasilishwa kutolazimisha walalamikaji kujitetea.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Victoria Nongwa.���
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)