#KwaheriMgeni: ”achana na nyama kwanza focus na mimi”, ndiyo @jackline_mgina anavyotamba na mashabiki wake….!
Huu ni #MzukawaKombeLaDunia ambao muda huu uko hewani.
Mechi ya fainali ya #Kombe la Dunia kati ya Hispania dhidi ya Argentina, utaipata LIVE kuanzia saa 4:00 usiku, ikitanguliwa na kipindi cha #Mzuka pamoja na uchambuzi.
LIVE #AzamSports2HD na AzamSports4HD
FWC26 FIFAWorldCup WeAre26 FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV MechiZote104LiveAzamTV
(Feed generated with FetchRSS)