#KwaheriMgeni: “Tulipopata haki, tukahitaji kufanya tofauti”

Afisa Mtendaji Mkuu Azam Media (CEO), Divisheni ya Maudhui na Utangazaji, Patrick Kahemele anasema ilipopatikana haki ya kuonesha fainali za Kombe la Dunia 2026, walitazama vyombo vingine vya habari na kuamua kuja tofauti ikiwemo kuiunganisha Afrika Mashariki na ndio maana wameletwa watangazaji na wachambuzi kutoka nchi tofauti.

Kwa upande wake Afisa Mwendeshaji Mkuu (COO), wa Azam Media, Divisheni ya Biashara, Loth Mziray, amesema muitikio kwa watu umekuwa mzuri na haya ni maandalizi kuelekea #AFCON2027

Mechi ya fainali ya #Kombe la Dunia kati ya Hispani dhidi ya Argentina, utaipata LIVE kuanzia saa 4:00 usiku.

LIVE #AzamSports2HD na #AzamSports4HD

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *