#KwaheriMgeni: Pichani ni Afisa Mtendaji Mkuu Azam Media, Divisheni ya Biashara, Sabrina Mohamedali @sabrin850 akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu Azam Media, Divisheni ya Maudhui na Utangazaji, Patrick Kahemele

Pamoja nao ni Messi wa ‘kuchemsha’

Mechi ya fainali ya #Kombe la Dunia kati ya Hispani dhidi ya Argentina, utaipata LIVE kuanzia saa 4:00 usiku, ikitanguliwa na kipindi cha #Mzuka pamoja na uchambuzi.

LIVE #AzamSports2HD na #AzamSports4HD

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *