Waumini wa Jumuiya ya Kiislamu ya Ahmadiyya wamehimizwa kutii mafundisho na kufuata msingi wa dini hiyo katika kuzingatia utu na kujawa upendo miongoni mwao ili kuondoa chuki na ubaguzi wa kidini, kijamii, rangi na kiutamaduni.
Siku nne zimesalia kuelekea mkutano mkuu wa 60 wa Jumuiya ya Ahmadiyya kote duniani utakaofanyika kuanzia Ijumaa wiki hii.
(Feed generated with FetchRSS)