Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amefungua mkutano wa tano wa ushirikishaji wa Watanzania katika uchumi wa madini unaofanyika jijini Mwanza.

Mkutano huo unalenga kuimarisha ushiriki wa Watanzania katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia fursa zinazotokana na rasilimali za madini.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *