#CDFCUP2026 “…askari wanapata afya ya akili”.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda akieleza faida tatu za uwepo wa mashindano ya mkuu wa majeshi (CDF Cup) ambayo hufanyika kila mwaka.

Mmashindano hayo kwa mwaka huu yamehitimishwa rasmi leo Julai 22, ambapo Kamandi ya Jeshi la Kujenga Taifa wameibuka washindi wa jumla.

#CDFCup2026 #CDFCup #MashindanoYaMkuuWaMajeshi #JeshiLaAkiba #CDFCupAwards

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *