#CDFCUP2026 Katika kuhitimisha mamshindano ya Mkuu wa Majeshi kwa mwaka huu… zimetolewa tuzo/makombe kwa waliofanya vizuri..

Kwenye mpira wa mikono, washindi wa kwanza ni Kamandi ya Jeshi la Anga wakati kwenye pool table wanaume, JKT wameibuka washindi wa kwanza, lakini pia mchezaji bora wa pool table ametokea hukohuko JKT.

#CDFCup2026 #CDFCup #MashindanoYaMkuuWaMajeshi #JeshiLaAkiba #CDFCupAwards

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *