Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndio amesema Serikali imeendelea kuimarisha mikakati ya usalama ya uhifadhi na usafirishaji wa kemikali ya ‘sulphur’ ili kuongeza usalama wa udhibiti wa athari ya kemikali hiyo.

Hayo ameyabainisha katika kikao kazi na wasimamizi wa kemikali hiyo katika ngazi mbalimbali za utendaji tangu kupokelewa bandarini hadi kusafirishwa nje ya nchi.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *