Mwanafunzi wa elimu ya juu, Maua Juma amesema ijapokuwa vijana wa kizazi cha sasa wanaona misemo ya wahenga imepitwa na wakati, lakini bado inawafaa kwani baadhi ya misemo hiyo ina matokeo chanya katika kurekebisha jamii.

#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *