#MEZAHURU”….kuna mtu anatengeneza maudhui ambayo hayana maana….maudhui ambayo hayana maana, ukimuuliza mtu kwa nini umetengeneza hiki hana sababu za kukupa, lengo lako lilikuwa ni nini basi tu mimi niliona watu wamefanya hivi na hivi….”-Ndutu Ndutu – Mtayarishaji wa Maudhui mtandaoni.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania