Mtaalamu wa lishe kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Zurubia Kinyogo amesema maziwa ya mama yanafaida nyingi kwa mtoto mchanga katika kumsaidia kupata virutubisho vyote, hasa kwa mtoto chini ya miezi sita ambaye bado hajaruhusiwa kula chakula chochote pia husaidia kukuza akili ya mtoto.
Mtaalamu Kiyongo ametoa usahuri kwa mama anaye nyonyesha na anayefanya kazi ya kukamua maziwa yake mwenyewe anapotoka kwenda kazini ili kusaidia mtoto kutumia maziwa hayo pindi yeye hayupo nyumbani.
✍ Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)