#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, Mkazi wa Katumba ambaye ni Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe na pia ni Makamu Mwenyekiti Hamasa Taifa wa chama hicho kwa tuhuma za uchochezi.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya SACAP Benjamini Kuzaga amesema Bw.Karonga alikamatwa Januari 29, 2026 saa 4 asubuhi maeneo ya Mtaa wa Katumba, Kata ya Ibighi – Tukuyu Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma mbalimbali za kijinai ikiwepo uchochezi.

Pia Jeshi la Polisi limesema upelelezi utakapokamilika hatua zaidi za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *