‎#HABARI: Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Abass Rugwa, amevitaka vyama vya watumishi CWT na TALGWU kuwa kiunganishi cha wafanyakazi na mamlaka zao, ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima ambayo imekuwa ikitokea kutokana na uelewa mdogo hasa kwa upande wa watumishi.

‎Bwana Rugwa ametoa maelekezo hayo wakati wa kikao kazi kati ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi CWT na TALGWU na Maafisa Utumishi mkoa wa Kigoma kilichofanyika katika manispaa ya Kigoma Ujiji huku vyama hivyo vikionesha umoja wao katika kuhudumia wafanyakazi wenye changamoto mbalimbali za kiutumishi.

TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *