Rais wa Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Rais Samia ameondoka leo Februari 2, 2026, ambapo atashiriki kwenye mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS).
Ushiriki wa Tanzania katika WGS 2026 unaakisi utekelezaji wa DIRA 2050 na Sera Mpya ya Mambo ya Nje, zinazoweka diplomasia ya kiuchumi kama nguzo ya uhusiano wa kimataifa.
Taarifa ya Ikulu imesmq kuwa lengo la mkutano huo ni kuoanisha sera, ushirikiano na mitaji ya uwekezaji kwa maendeleo ya Taifa.
#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)