Mradi wa kupeleka umeme katika vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), unatarajiwa kuwanufaisha wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara huku vitongoji 581 mkoani Shinyanga vikiwekewa Shilingi Bilioni 60.9 kwa ajili ya mradi huo.
Kasisi Kosta ameandaa taarifa hii.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)