#NBCPL: Kocha Zedekiah Otieno wa Tanzania Prisons afurahishwa na timu yake kufunga goli baada ya kukaa kwa muda japo asikitishwa vijana wake kutofuata mpango waliokwenda nao.
Kocha Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo afurahia alama tatu.
FT: Mtibwa Sugar 2-1 TZ Prisons
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MtibwaSugarVsTZPrisons #MtibwaSugar #Prisons