Kesi ya jinai inayomkabili makamu wa rais aliyesimamishwa kazi nchini Sudan Kusini ilianza Jumatatu katika mji mkuu, Juba. Riek Machar amefikishwa mahakamani pamoja na washtakiwa wenzake.
Riek Machar afikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhaini
Riek Machar afikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhaini Kesi ya jinai inayomkabili makamu wa rais aliyesimamishwa kazi nchini Sudan Kusini ilianza Jumatatu katika mji mkuu, Juba. Riek Machar amefikishwa mahakamani pamoja na washtakiwa wenzake.