Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuachia kwa masharti ya kutotenda kosa la jinai kwa mwaka mzima Msai Kashindye baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kaka yake Charles Kashindye bila kukusudia kwa kumpiga kichwani na kipande cha Gogo.

Juma Kapipi ameandaa taarifa ifuatayo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *