Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa kushirikiana na Zimbabwe na Chuo Kikuu cha Uingereza (OXFORD) wamezindua mradi wa utafiti wa kupunguza ajali za barabarani kwa watoto hususani kuanzia miaka 6 hadi 12 kwa lengo la kutokomeza ajali hizo.

Hayo yamesemwa na Mwakilishi kutoka MUHAS, Raymond Athanas wakati wa uzinduzi wa mradi huo wa utafiti wakisema unatokana na takwimu za jeshi la polisi nchini.

Sheila Mkumba.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *