Katika hali ya kushangaza, serikali ya Uturuki imekuja na mbinu ya kupunguza ajali barabarani kwa kutumia mabaki ya magari yaliyoharibika kwa kuyaweka kando ya barabara kama njia na alama ya kuwakumbusha madereva madhara ya uzembe barabarani.

#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *