Uendeshaji wa pikipiki maarufu ‘Bodaboda’ unatajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vya ajali na madhara kwa binadamu na mali zao.

Fatuma Juma ni miongoni mwa mifano na ushahidi halisi wa atari za ahali zinazosababishwa na ‘Bodaboda’ baada ya kupata ajali ya combo hicho na kusababishiwa ulemavu wa kudumu.

Msikilize akimsimulia mwandishi wetu Theresia Mwanga.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *