Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kanda ya Kati (DCEA) imeteketeza kilo 600 za dawa za kulevya aina ya bangi na mirungi, ambazo zimetokana na kesi za ulanguzi wa dawa hizo zilizomalizika mahakamani.

Watuhumiwa 50 waliohusika katika dawa hizo wamehukumiwa kifungo cha maisha na miaka 30 jela.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @rajjmsangi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *