Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameielekeza Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kutoa adhabu zinazolingana na athari anazozipata mtu pale picha au taarifa zake za faragha zinapovujishwa kinyume na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Malisa ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo elekezi kwa Maafisa wa tume hiyo kutoka mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Kakuru Msimu
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)