Takribani watu 23,000, wengi wao wakiwa ni kaya zisizo na uwezo katika Wilaya ya Sumbawanga, hususan vijijini, wanatarajiwa kupatiwa bima za afya za bure ili waweze kupata huduma za matibabu, ambazo awali zilikuwa changamoto kwao kutokana na kushindwa kumudu gharama zake.
Zoezi la ugawaji wa kadi hizo limeanza katika Kijiji cha Sumbawanga Asilia, ambapo wazee, watoto na wananchi wengine tayari wamepatiwa kadi zao.
Sammy Kisika
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)