Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania, Ismael Kimirei amesema kumekuwa na upotevu mkubwa wa mazao ya uvuvi baada ya kuvunwa hali inayosababisha nchi kukosa mapato, huku akibainisha kuwa mkakati maalum unawekwa kukabiliana na changamoto hiyo kupitia matumizi ya teknolojia bora.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *