Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesifu matumizi sahihi ya kodi za wananchi katika mradi wa Bwawa la Julius Nyerere, ikisema mradi huo unaonesha jinsi kodi zinavyochochea maendeleo kwa kuongeza umeme wa uhakika, kukuza biashara, uwekezaji na ukuaji wa uchumi, hivyo kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)