“…Nilipata fursa ya kutembezwa katika sehemu za ndani za ITV, na kwa kweli inafurahisha sana ni operesheni ya ajabu kuona jinsi magazeti yanavyochapishwa, maudhui ya kidijitali, skrini ya bluu yote haya yalikuwa mapya kwangu lakini ya kuvutia sana. Naweza kusema kwamba ni muhimu sana kwa nchi, ikiwemo yangu, kuwa na vyombo vya habari binafsi vilivyo imara na hai kama vyenu…”— Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania