#VIDEO: Mchungaji Rose Masesa, dada mkubwa wa Tundu Lissu, akifanya maombi maalumu ndani ya chumba cha Mahakama, muda mfupi kabla ya kuanza kwa usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu), akimuombea afya njema na haki kutendeka katika mwenendo mzima wa shauri hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.