Wadau wa elimu, wakiwemo wanafunzi wametakiwa kubadili mtazamo kuhusu matumizi ya Akili Unde (AI) kwa kuitumia kama nyenzo ya kujiletea manufaa ya kiuchumi na chachu ya mabadiliko binafsi, badala ya kuitegemea kama chombo cha kawaida cha kutafuta taarifa pekee.
Wito huo umetolewa katika mdahalo ulioandaliwa na Mbeya University of Science and Technology (MUST) kwa kushirikiana na Wrocław University of Science and Technology ya nchini Poland, ukilenga kuhamasisha matumizi sahihi ya teknolojia katika kujenga uchumi na kuleta maendeleo endelevu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)