“Mpira wetu sisi JKT Tanzania mnaufahamu, mpira wa pasi mpira ambao kila mmoja akiutazama anaupenda, mpira uliopangiliwa…sasa sisi tumeshtuka kidogo, mpira wa mbio…mnafukuzana kama sungura anafukuzwa na mbwa mwenye njaa, sisi hatukuzoea mpira wa hivyo, nadhani vijana wetu hilo nalo limewachanganya”-Afisa Habari wa JKT Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.