24 Septemba 2025

Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina//Ukraine imeelezea kushangazwa na matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kusema anaamini Kiev inaweza kuitwaa tena ardhi yake iliyonyakuliwa na Urusi//Ufaransa kuandaa mkutano wa dharura kuangazia hali mbaya ya kibinaadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

https://p.dw.com/p/50ymk

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *