“….ukitazama Yanga Africans ni miongoni mwa Timu ambazo zimekuwa na ubora kwenye idara zote kuanzia kwenye eneo la Goal Keeping, hakuna koli kipa bora kwa hivi sasa kwenye Ligi Kuu Soka Tanzania Bara zaidi ya Diarra kwenye safu ya ulinzi, wana mabeki bora na ubora wa mabeki wao umetokana na kiwango pili mwendelezo wa kiwango chao…”-Khalid Mtumbuka, Mchambuzi.
TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3