Serikali ipo mbioni kujenga barabara kutoka Songea hadi Njombe, ambayo tayari imepata mkandarasi atakayezaanza ujenzi wa kilomita 100, ili kupunguza changamoto za ubovu wa miundombinu katika eneo hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *