‎#HABARI: Serikali imepeleka kiasi cha Shilingi Trilioni 1.57 katika Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya shughuli za Maendeleo na Huduma kwa wananchi ikiwemo Miradi ya Elimu, Afya, Barabara na Shughuli za Kiuchumi.

‎Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi wakati akiwasili na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ambapo imewasili mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya Ukaguzi wa Miradi inayotekelezwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Jeshi la Polisi na Idara ya Uhamiaji ambapo wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu.

‎Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *