Katika kutambua na kuenzi mchango wa hayati John Pombe Magufuli, serikali imeahidi kutoa shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa makumbusho yake yaliyopo kando ya kaburi lake wilayani Chato, mkoani Geita.

Hayo yameelezwa hii leo na Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, katika ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Rais huyo wa awamu ya tano.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *