MTONI QUEENS: “…magoli yote mawili ni ya golikipa”

Hatua ya sita bora ligi ya wanawake mkoa wa Dar es Salaam inazidi kuwasha moto, ambapo leo Rangi Tatu na Mtoni Queens wametoshana nguvu kwa sare ya 3-3 huku Tanzanite Princess wakiwachapa 4-1 Mbagala Queens, mchezo ukimalizika na kadi mbili nyekundu.

Timu zote nne zilizocheza leo zimezungumzia kilichotokea dimbani huku zikikiri ligi hiyo kuwa na ushindani wa aina yake.

✍️ @amosimasokotz

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *