ALLY KAMWE: “……rudi mzigoni, lete watu”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe asisitiza ombi lake kwa rais wa klabu hiyo, Hersi Said kuhusu usajili, afafanua sababu za ombi hilo, azungumzia pia hali ya majeruhi akiwataja watatu ambao wameanza leo ‘gym’.
#YangaSC #AllyKamwe
(Feed generated with FetchRSS)