Kufuatia ukosefu wa njia rasmi ya kuwasaidia wananchi wanaoishi karibu na Shule ya Sekondari Kayanga wilayani Karagwe kuzifikia huduma muhimu za kijamii, kaya zaidi ya 60 zimeanzisha utaratibu wa kutenga siku ya Alhamisi ya kila wiki kuchonga barabara ya kutoka na kuingia katika makazi yao ili kurahisisha na kuziwezesha kaya hizo kuzifikia huduma muhimu.
Benson Eustace amefuatilia hilo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)