#HABARI:Aliyekuwa Naibu Rais na Kiongozi wa Chama ch DCP Rigathi Gachagua, amejibu mashambulizi ya maneno ya Rais William Ruto dhidi yake, na badala yake amemtaka Rais Ruto kutumia muda huo kuufufua uchumi wa Kenya anaodai umeyumba na kutekeleza majukumu yake kama Rais.
Kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, sasa anadai kuwa Rais William Ruto ameshindwa na majukumu ya Urais huku na kwamba Rais Ruto amekuwa akitumia muda mwingi kuwatupia matusi viongozi wa upinzani badala ya kushughulikia matatizo ya Wakenya.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)