Umewahi kusikia kuhusu ugonjwa wa ‘Bipolar’? Ni ugonjwa unaosababisha mtu kuwa katika hali ya huzuni au furaha inayopitiliza.
Daktari Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili- Muhimbili, Said Kuganda anasema jamii haipaswi kuwanyanyapaa wagonjwa wa ‘Bipolar’ kwani hali hiyo si ya kudumu.
✍Ibrahimu Kilumbo
@goodluckpaul_mc
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)