“Tuhuma za kughushi kadi za Benki zilizoibiwa taarifa zake na kupelekea kiasi cha Shilingi Bilioni 147.5 kutolewa hapa nchini kwetu katika akaunti za wateja pasipo ridhaa yao, uchunguzi wetu umebaini kuwa fedha hizi zimetolewa kupitia malipo ya huduma na bidhaa kwa kutumia kadi 1551 za wateja kwa mataifa 11…”- Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Crispin F. Chalamila.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *